• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: dhahabu inasukuma juu mauzo ya nje

    (GMT+08:00) 2017-04-05 19:20:13

    Mauzo ya nje ya dhahabu nchini Uganda iliandikisha ongezeko la asilimia 89 kwa mwaka ulioisha wa 2016, ripoti ya Benki Kuu ya Uganda (Bou) inaonyesha.

    Ingawa Uganda sio mchimbaji mkubwa wa dhahabu, wataalam wanasema mauzo ya nje iliona nchini ikiandikisha mapato ya sh trilioni 1.2 ya Uganda kutoka sh bilioni 129 mwaka uliopita.

    Utendaji huu unafanya dhahabu kuwa bidhaa ya pili inayofanya vizuri katika mauzo ya nje nchini Uganda baada ya kahawa.

    Mauzo ya nje nchini Uganda imefanya vizuri katika mwaka wa 2016 kuliko miaka ya nyuma katika kalenda .

    Bidhaa zilizouzwa nje mapato yake yalipanda kwa asilimia 10.3 kutoka sh trilioni 9.5 ya Uganda katika mwaka wa 2015 hadi sh trilioni 10.4 mwaka wa 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako