• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Manchester City na Paris Saint-Germain zamnyemelea beki wa Real Madrid Pepe

    (GMT+08:00) 2017-04-06 08:46:53

    Vilabu vya Manchester City na Paris Saint-Germain vimeonyesha nia ya kutaka kumsajili beki wa klabu ya Real Madrid Pepe katika majira ya joto kwa mujibu wa Marca. Mreno huyo anamaliza mkataba wake na Real Madrid mwisho wa msimu huu na ameshakataa ofa kadhaa kutoka ligi ya China ili kuendelea kucheza soka Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako