• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Peter Odemwingie ajiunga na klabu ya Madura United ya Indonesia

    (GMT+08:00) 2017-04-06 08:49:31

    Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria Peter Odemwingie amejiunga na klabu ya Madura United ya Indonesia. Mchezaji huyo ambaye hivi sasa ana umri wa miaka 35 na ameichezea timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles katika mashindano ya kombe la dunia mwaka 2010 na 2014 ametia saini mkataba wa mwaka mmoja ambao unaweza kuongezwa.

    Mchezaji pia ameshawahi kuvichezea vilabu vya Uingereza vya Westbrom na Stoke City na alikuwa akiichezea Rotherham lakini akaondoka Januari.

    Odemwingie ni mchezaji wa tatu wa zamani wa ligi kuu ya Uingereza kuhamia Indonesia baada ya Michael Essien na Carlton Cole.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako