• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kutimiza lengo la uandishaji wa shule za sekondari ya juu lifikie zaidi ya asilimia 90 hadi mwaka 2020

    (GMT+08:00) 2017-04-06 17:41:56

    Wizara ya elimu ya China imesema, hadi kufikia mwaka 2020, kiwango cha uandishaji wa shule za sekondari ya juu nchini humo kitafikia asilimia zaidi ya 90, ambapo elimu hiyo itaenea nchi nzima ili wanafunzi waliohitimu shule ya sekondari ya chini wapate elimu nzuri.

    Wizara ya elimu ya China leo imefanya mkutano na waandishi wa habari, ambapo imejulisha mpango wa kueneza elimu ya shule ya sekondari ya juu kuanzia mwaka 2017 hadi 2020. Imesema mpango huo ni hatua muhimu nyingine ya kuinua kiwango cha jumla cha elimu ya wachina na kujenga nchi kubwa iliyo na watu wengi wenye ujuzi baada ya kumaliza elimu ya miaka 9 bila malipo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako