• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Serikali ya Uganda yawarai wakulima wa kahawa kuongeza uzalishaji

    (GMT+08:00) 2017-04-06 18:33:08

    Serikali ya Uganda imeanzisha mkakati wa kuwarai wakulima kuongeza upanzi wa kahawa ili kujiongezea mapato.

    Chini ya mkakati huo mratibu wa oparehsni za kukuza mali leteni Charles Angina, amesema wakulima watahitajika kujinga kwa vikundi na kusajili maeneo ya ardhi yao waliotenge kwa ajili ya upanzi wa kahawa.

    Serikali inalenga kusaidia familia kupata shilingi milioni 1.6 kila mwaka huku nchi hiyo ikijitahidi kuwa na uchumi wa wastani.

    Na akiongea wakati wa kugawa miche milioni 2.5 za kahawa kwa wakulima wa eneo la Kabango Angina amesema wanalenga kuzalisha magunia milioni 20 ya kahawa ifikapo mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako