• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampala: Rais wa Hungary János Áder ametangaza kwamba nchi yake itatoa msaada wa masomo kwa wanafunzi 50 wa Uganda kusomea nchini humo.

    (GMT+08:00) 2017-04-06 18:37:30
    Kampala: Rais wa Hungary János Áder ametangaza kwamba nchi yake itatoa msaada wa masomo kwa wanafunzi 50 wa Uganda kusomea nchini humo.

    Aidha alitangaza kwamba serikali yake itatoa msaada wa euro milioni 20 kufadhili miradi mbalimbali nchini humo.

    Rais Áder aliyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Uganda nchini humo Marcel Tibaleka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako