• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tecno na Tigo zazindua simu mpya aina ya Tecno Camon Cx

    (GMT+08:00) 2017-04-06 18:37:43

    Kampuni ya simu za mkononi ya Tecno kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano ya Tigo imezindua simu mpya aina ya Tecno Camon Cx yenye uwezo wa kuhisi mwanga haraka.

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa jana wakati wa uzinduzi huo Mkurugenzi Mkuu wa Tecno, Daniel Xu,alisema zaidi ya watumiaji 5 milioni duniani wameanza kuzitumia .

    Alisema simu hizo zina uwezo wa kuhisi mwanga kwa kasi na kutengeneza mng'ao mkali kwa asilimia 30 nyakati za usiku au mchana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako