• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbio za Nyanza North Region kufanyika kesho Kenya

    (GMT+08:00) 2017-04-07 09:19:35

    Bingwa wa mbio za meta 1500 za Olimpiki za mwaka 2008 Asbel Kiprop, ni mmoja kati ya wanariadha wanaotarajiwa kumtimua vumbi kesho kwenye mbio za kwanza Nyanza North region zitakazofanyika kwenye uwanja wa chuo Kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga huko Bondo. Mbali na Kiprop, mshindi wa medali ya fedha mbio za meta 5000 Mercy Cherono pia atakuwepo. Ofisa mawasiliano wa mkoa Jared Gilo amesema tayari maandalizi kwa ajili ya mbio hizo yamekamilika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako