• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WEF yasema nguvu ya ushindani ya sekta ya utalii ya China yapanda hadi nafasi 15 duniani

    (GMT+08:00) 2017-04-07 09:37:09

    Ripoti kuhusu sekta ya utalii duniani kwa mwaka 2017 iliyotolewa na Baraza la Uchumi duniani WEF inaonesha kuwa nguvu ya sekta ya utalii ya China kwenye ushindani wa kimataifa inachukua nafasi ya 15 duniani, baada ya kupanda kwa nafasi 2 ikilinganishwa na mwaka 2015. Ripoti inaonesha kuwa Hispania, Ufaransa na Ujerumani zimechukua nafasi tatu za kwanza kwenye orodha hiyo, na kwamba sekta ya utalii imetoa mchango wa zaidi ya asilimia 10 katika ukuaji wa uchumi wa dunia, na pia kuchangia asilimia 10 ya nafasi za ajira duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako