• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China awasili Marekani kwa mkutano wa kwanza na mwenzake Donald Trump

    (GMT+08:00) 2017-04-07 12:32:45

    Rais Xi Jinping wa China amewasili Palm Beach nchini Marekani, kwa mkutano wa kwanza na mwenzake wa Marekani Bw. Donald Trump, unaolenga kuelekeza uhusiano wa nchi mbili. Katika ziara hiyo ya siku mbili, Rais Xi atakutana na Bw. Donald Trump, ambapo watabadilishana maoni kuhusu uhusiano kati ya China na Marekani na masuala ya kikanda na ya kimataifa. Rais Xi pia anatarajiwa kuhudhuria tafrija ya kumkaribisha iliyoandaliwa na rais Trump wa Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako