• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yalaani vikali mashambulizi ya kigaidi nchini Misri

    (GMT+08:00) 2017-04-10 19:34:21

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema, China inalaani vikali mashambulizi ya kigaidi ya kujitoa mhanga nchini Misri.

    Amesema, China inaiunga mkono Misri katika jitahada zake za kulinda utulivu wa taifa na kupenda kushirikiana na jumuiya ya kimataifa kuongeza ushirikiano wa kupambana na ugaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako