• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UGANDA: WAFANYIBIASHARA WA MJINI WANAITAKA SERIKALI KUANGALIA SHIDA ZAO

    (GMT+08:00) 2017-04-10 20:08:15

    Wiki iliyopita Maduka mengi yalibaki kufungugwa kufuatia maandamano ya wafanyabiashara wakilalamika kuongezwa kwa kodi na wamiliki wa maduka hayo.

    Msemaji wa Chama cha wafanyibiashara mjini Kampala (Kata), Bw Mpungu, anasema wafanyibiashara hawatafungua tena maduka yao bila makubaliano ya maandishi kutoka kwa wamiliki wa nyumba, kuonyesha hawataongeza ada ya kukodisha nyumba.

    hatma wafanyabiashara wameanza mjadala mkali, na wengi wa watu wakikosoa serikali kwa kushindwa kuzuia wafanyabiashara walioathirika na kuongezwa kwa kodi na wamiliki wa nyumba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako