• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kahawa nchini Kenya yaandikisha uuzaji wa bei ya chini

    (GMT+08:00) 2017-04-10 20:17:39

    Kulingana na ripoti kutoka mnada wa kahawa Nairobi (NCE) inaonyesha mfuko wa kilo 50 ulikuwa unauzwa kwa sh 18,156 wiki ikilinganishwa na Sh21,624 katika uuzaji uliopita.

    Hivi karibuni, kahawa nchini imeandikisha uuzaji wa bei ya chini ambayo imechangiwa maharage duni zinazoletwa na wakulima.

    Mnada imekuwa ikifurahia maharage bora kutoka kati ya Kenya katika miezi mitatu iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako