• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Judo Zanzibar, yapania kubeba taji la Dunia

    (GMT+08:00) 2017-04-11 08:24:58
    Rais wa chama cha soka cha mchezo wa judo Zanzibar (ZJA), Tsuyoshi Shimaoka amesema wako katika mafunzo na maandalizi kwa wachezaji wa mchezo wa judo ili kuweza kutwaa ubingwa wa dunia.

    Shimaoka amesema katika mafunzo maalum ya viungo yaliyofanyika katika uwanja wa Aman, Zanzibar kuwa wachezaji wanapata mazoezi ya kimchezo, lakini wameamua kuwafundisha njia ya mazoezi hayo ili kuwapa uzoefu zaidi na mbinu za mchezo huo.

    Mafunzo hayo yameendeshwa chini ya mkufunzi kutoka Japan, Koichi Ouki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako