• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi Kuu Tanzania Bara: Simba yairarua Mbao FC 3-2 dakika za Majeruhi na kushika uskani wa ligi

    (GMT+08:00) 2017-04-11 08:25:22
    Dakika 3 kati ya 7 za nyongeza zimetosha kuipa ushindi wa mabao 3-2 timu ya Simba SC dhidi ya wapinzani wao Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika katika dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza.

    Sifa zimuendee mshambuliaji toka Ivory Coast Frederick Blagnon aliyetokea benchi na kwenda kufunga mabao mawili dakika za lala salama za mchezo kabla ya Muzamil Yassin kufunga goli la ushindi.

    Mechi nyingine ilichezwa kati ya Azam na Mtibwa, na kutoka suluhu ya bila kufungana katika mchezo uliopigwa uwanja wa Manungu, Morogoro.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako