• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Shirikisho barani Afrika: TP Mazembe yaitoa nishai JS Kabbylie ya Algeria

    (GMT+08:00) 2017-04-11 08:26:11
    Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) jana iliibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya JS Kabylie ya Algeria katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika mchezo uliochezwa mjini Lubumbashi.

    Mabingwa mara tatu wa kombe la shirikisho, ambayo ni rekodi, CS Sfaxien ya Tunisia wamepata ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Rail Kadiogo nchini Burkina Faso. Huku KCCA ya Uganda ikiwaangusha AL Masry ya Tunisia kwa goli 1-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako