• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi Kuu ya Uingereza EPL: Asernal yakubali kipigo

    (GMT+08:00) 2017-04-11 08:27:35
    Timu ya Arsenal yakubali kipigo cha magoli 3-0 toka kwa Crystal Palace kwenye mchezo wa ligi kuu ya EPL iliyochezwa jana katika uwanja wa Selhurst Park huku mashabiki wa Arsenal wakimtaka kocha wa Arsenal, Arsene Wenger aondoke.

    Magoli ya Arsenal yaliwekwa wavuni na Andros Townsend dakika ya 17, Yohan Cabaye dakika ya 63 na Luka Milivojevic kwa mkwaju wa penalti dakika ya 68. Kipigo hiki kinaifanya Arsenal kufungwa mechi nne mfululizo za ligi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako