• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Claudio Ranieri asema haamini kuwa wachezaji wake ndio waliomfukuzisha kazi

    (GMT+08:00) 2017-04-12 09:54:08
    Meneja wa zamani wa Leicester, Claudio Ranieri anaamini kuwa kuna mtu kwenye klabu aliyekuwa anampinga lakini anasema hadhani ni wachezaji waliosababisha yeye kupigwa kalamu.

    Muitaliano huyo aliongoza klabu ya Leicester kushinda ligi kuu msimu uliopita lakini akatimuliwa mwezi Februari.

    Wakati Ranieri akifukuzwa kazi Leiceter ilikuwa pointi moja juu ya eneo la kushushwa ngazi la ligi kuu. Meneja msaidizi Craig Shakespeare alipewa kazi ya kuifunza timu hiyo na kuiongoza kushinda mechi tano za ligi kuu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako