• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: lita nusu ya maziwa hivi sasa inauzwa sh 60

    (GMT+08:00) 2017-04-12 19:33:51

    Wakenya watalazimika kutumia fedha zaidi kununua maziwa baada ya bei kupanda hadi sh 60 kwa pakiti 500ml.

    Wadhibiti wa Viwanda, bodi ya maziwa ya Kenya , inalaumu kupanda kwa bei.

    Maziwa ya Brookside hivi sasa inanunuliwa kwa Sh63 kwa kila pakiti ya mililita 500, Ilara sh 60, sawa na KCC , katika karibu maduka yote ya rejareja, Nairobi.

    bei ya maziwa lala pia imepanda juu hadi sh 75 kutoka sh 65mwezi uliopita.

    Wasindikaji walaumu kuongezeka kwa usambazaji mdogo jambo ambalo limefanya kurekebisha bei ya wakulima kwenda juu kutokana na upungufu wa bidhaa hii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako