• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bei ya kimataifa kahawa ya Robusta imeshuka

    (GMT+08:00) 2017-04-12 19:34:04

    Bei ya kahawa ya Robusta duniani imeshuka.

    Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka shirika la kimataifa la kahawa (ICO) mwezi wa Februari ni kwamba bei ilishukua kidogo kati ya makundi yote lakini Robustas bei yake ikashuka zaidi.

    Hata hivyo, ripoti inaonyesha kuwa bei za kila siku zimepungua mwezi mzima.

    Uganda ikijulikana kama nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa kimataifa wa kahawa wanapanga kuzalisha kahawa bora na kuuza kwa masoko maalum.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako