• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasema itachukua hatua zaidi kulinda ukamilifu wa ardhi na usalama wa taifa

    (GMT+08:00) 2017-04-12 20:06:43

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema, China imetoa malalamiko makali dhidi ya India baada ya Dalai Lama kutoa kauli zisizofaa dhidi ya serikali ya China alipofanya "shughuli za kidini" katika eneo linalogombewa na nchi hizo mbili, na kusema itachukua hatua zaidi kulinda ukamilifu wa ardhi na usalama wa taifa.

    China imeitaka India kufikiria maslahi ya watu wa pande hizo mbili, kulinda msingi wa kisiasa wa maendeleo ya uhusiao kati yao, kuacha vitendo vya uchochezi na kuchukua hatua halisi kulinda uhusiano kati yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako