• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania mwenyeji wa mashindano ya Scrabble

    (GMT+08:00) 2017-04-13 09:11:48
    Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya mchezo wa Scrabble yanayotarajiwa kuanza leo na kumalizika tarehe 16 mwezi huu.

    Mkurugenzi wa mashindano hayo Nicholas Mbugua, amesema mashindano hayo yatashirikisha wachezaji 80 kutoka Kenya, Uganda, na Afrika Kusini.

    Katika hatua nyingine, Chama cha Wachezaji Scrabble nchini Tanzania (TASPA) kimeahidi kuufufua mchezo huo hasa katika vyuo vikuu na shule za msingi na sekondari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako