• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Shirikisho: Yanga kuivaa Algeria bila wachezaji 6

    (GMT+08:00) 2017-04-13 09:12:12
    Mabingwa wa Tanzania Bara Yanga wataondoka leo kwenda Algiers, Algeria kwa ajili ya mchezo wake wa marudiano dhidi ya Mouloudia Club D'Alger.

    Yanga itawakosa wachezaji wake 7akiwemo Obrey Chirwa ambaye amekataa kusafiri kutokana na kutolipwa mshahara wa miezi mitatu anaodai.

    yanga watatakiwa kulinda ushindi wao wa 1-0 walioshinda katika mechi ya mwanzo iliyochezwa jijini Dar es salaam wiki iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako