• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Taifa ya baiskeli ya Rwanda yaondoka kuelekea Eritrea kwa mashindano ya mbio za baiskeli

    (GMT+08:00) 2017-04-13 09:12:35
    Timu ya Taifa ya Baiskeli ya Rwanda imeondoka nchini Rwanda jana asubuhi kuelekea Eritrea kwa ajili ya mashindano ya baiskeli yanayoanza tarehe 18 hadi 22 mwezi huu.

    Timu hiyo ya Rwanda ina ari ya kufanya vizuri mwaka huu katika mashindano mbalimbali ya Baiskeli. Kocha mkuu wa timu hiyo Sterrling Magnell amesema kuwa wanajiamini kufanya vizuri angalau kufanya vizuri kwa kila hatua, na kuwa amekwisha wapa mbinu bora zaidi wachezaji wake ili kuhakikisha wanarejea nyumbani Rwanda na ushindi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako