• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Stephen Curry aongoza kwa mauzo ya jezi mpira wa kikapu Marekani

    (GMT+08:00) 2017-04-13 09:13:28

    Mchezaji wa klabu ya Golden State Warriors, Stephen Curry kwa mara nyingine amefanikiwa kuongoza kwa mauzo ya jezi kwa wachezaji wote wanaoshiriki ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Marekani - NBA. Hii ni mara ya pili mfululizo kwa mchezaji huyo.

    kutokana na takwimu zinazotolewa na mauzo kupitia NBAStore.com tangu kuanza kwa msimu wa 2016-17 wa NBA. Kwenye nafasi tano za juu yupo pia mchezaji bora wa kizazi hiki anayechezea klabu ya Cleveland Cavaliers, LeBron James (No. 2), mchezaji mwingine wa Golden State Warriors, Kevin Durant (No. 3), mchezaji anayetegemewa kushinda tuzo ya mchezaji bora mwenye thamani wa NBA (MVP) msimu huu wa klabu ya Oklahoma City.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako