• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji 35 wa IS wauawa nchini Iraq

    (GMT+08:00) 2017-04-13 18:19:26

    Wapiganaji 35 wa kundi la IS wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la serikali ya Iraq katika maeneo yaliyo karibu na mji wa Mosul, kaskazini mwa nchi hiyo.

    Jeshi la Iraq linaendelea na mapambano ya kuurejesha eneo la magharibi mwa mji wa Mosul, hata hivyo ukali wake umepungua kutokana na wapiganaji wa kundi la IS kuwateka nyara raia wengi katika maeneo yenye mitaa iliyobanana na njia nyembamba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako