• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Kampuni za simu zapigwa faini Tanzania

    (GMT+08:00) 2017-04-13 19:10:34

    Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania(TCRA) imezipiga faini ya Sh 695milioni kampuni saba za simu kwa kosa la kushindwa kutoa huduma bora.

    Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA James Kilaba alisema walibaini hayo baada ya kufanya tathmini kwenye mikoa ya Dar Es Salaam,Mbeya na Iringa.

    Amesema wamebaini kwamba kampuni hizo zina udhaifu katika upatikanaji wa mitandao na ubora wa sauti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako