• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Tanzania yazindua ujenzi wa reli ya kisasa

    (GMT+08:00) 2017-04-13 19:11:21

    Tanzania imezindua safari ya kuelekea katika kuwa na reli ya kisasa (standard gauge) itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi Mwanza, ambayo itakuwa na manufaa makubwa kiuchumi na kijamii na hivyo kulifanya Taifa kupiga hatua kubwa ya maendeleo.

    Rais John Magufuli aliweka jiwe la msingi la uzinduzi wa awamu ya kwanza ya ujenzi wa reli hiyo katika eneo la Pugu Stesheni wilayani Ilala Mkoa wa Dar es Salaam.

    Awamu hiyo inatarajiwa kukamilika Oktoba 2019, ikianzia Dar es Salaam hadi Morogoro .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako