• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya yafuzu robo fainali ya michuano ya dunia ya HSBC nchini Singapore

    (GMT+08:00) 2017-04-17 08:46:54
    Timu ya Taifa ya Kenya (Shujaa) ya mchezo wa raga ya wachezaji 7 kila upande ambao pia ni mabingwa watetezi wa taji la mchezo wa raga kwa wachezaji 7 duniani imefuzu katika hatua ya robo fainali.

    Hii inamaana kuwa Kenya ipo katika nafasi nzuri ya kutetea taji lake, itamenyana na timu ya Uingereza jumapili ijayo. Timu zingine ambazo zimefuzu robo fainali hiyo ni Fiji, Canada, New Zealand na Marekani.

    Mashindano haya yatamalizika mwisho mwa mwezi Mei jijini London Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako