• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Harambee Stars yataja kikosi kitakachovaana na Malawi

    (GMT+08:00) 2017-04-17 08:47:59
    Kocha mkuu wa Harambee Stars Stabley Okumbi ametaja kikosi cha wachezaji 23 kitakachomenyana na timu ya Taifa ya Malawi katika mechi ya kirafiki April 18 katika uwanja wa Kenyatta mjini Machakos.

    Harambee Stars itatumia mchuano huu kama sehemu ya maandalizi yao ya mashindano ya Afrika ya wachezaji wanaosakata soka katika mataifa yao yatakayoandaliwa Kenya mwaka 2018.

    Katika mechi hiyo, ambayo itahusisha wachezaji wa Kenya wanaocheza humu nchini pekee, Okumbi atakuwa akisaka kudumisha rekodi yake ya kutoshindwa hadi mechi 11.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako