• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Wawekezaji wa uholanzi kufanya ziara Kenya

    (GMT+08:00) 2017-04-17 18:53:43

    Wajumbe kutoka kwa kampuni 20 za uholanzi watazuru Kenya hivi karibuni kutafuta fursa za biashara.

    Ziara hiyo ya siku tatu ya wajumbe hao itawaleta pamoja wadau wa sekta ya afya na biashara .

    Uholanzi imeaihidi kutoa ushirikiano wa biashara pamoja kutoa misaada ya fedha katika miradi ya tofauti.

    Nchi hiyo sasa ni tatu katika orodha ya nchi zinazonunua bidhaa za Kenya kwa idadi kubwa duniani .

    Aidha serikali ya Uholanzi imesema inataka kushirikiana na Kenya katika miradi ya amendeleo ya millenia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako