• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yamtia mbaroni mwanamume anayeshukiwa kupanga shambulizi la St. Petersburg

    (GMT+08:00) 2017-04-18 08:57:11

    Idara ya usalama ya Russia imesema imemtia mbaroni Bw. Azimov Akhralovich mwenye asili ya Asia ya kati, ambaye anashukiwa kupanga shambulizi dhidi ya subway mjini St. Petersburg. Taarifa iliyotolewa na idara hiyo inasema, mshukiwa huyo mwenye umri wa miaka 27 alikamatwa kwenye eneo la Odintsovo mjini Moscow.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako