• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Dan Norton aimarisha rekodi yake ya miguso raga za dunia

    (GMT+08:00) 2017-04-18 09:05:23
    Muingereza Dan Norton ameimarisha rekodi na kuwa mfungaji bora katika raga za dunia za wachezaji saba kila upande baada ya duru nane za msimu 2016-2017.

    Norton ambaye aliingia duru mbili za bara la Asia mjini Hong Kong na Singapore nakufanikiwa kuweka rekodi ya miguso 244, aliimarisha rekodi yake alipofunga miguso mitatu - mguso dhidi ya Japan, Afrika Kusini na Kenya katika duru ya Singapore Sevens iliyokamilika Aprili 16 baada ya siku mbili ya mashindano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako