• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Shirikisho Barani Afrika: CS Sfaxien yafuzu hatua ya makundi

    (GMT+08:00) 2017-04-18 09:06:13
    Klabu ya soka ya CS Sfaxien ya Tunisia imekuwa klabu ya kwanza kufuzu hatua ya makundi kuwania taji la shirikisho barani Afrika.

    CS Sfaxien ilifika hatua hiyo baada ya kuishinda Rail Club du Kadiogo ya Burkina Faso kwa mabao 4-1 katika mchezo wa marudiano. Mchezo wa kwanza Sfaxien ilishinda mabao 2-1 wakiwa ugenini Burkina Faso, na kupata mabao 2-0 katika mchezo huo wa marudiano uliochezwa Tunisia.

    Mabao ya timu hiyo ya Tunia yamefungwa na Maher Hannachi na Karim Aouadhi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako