• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda Ndege za ndani nchini Uganda zimekuwa ghali kwa wenyeji.

    (GMT+08:00) 2017-04-18 20:00:03

    Ndege za ndani nchini Uganda zimekuwa ghali kwa wenyeji.

    Kama tiketi ya kurudi kutoka Entebbe hadi New York gharama yake ni karibu dola 900 sawa na sh milioni 3.2 ya Uganda, ambapo safari za ndege kutoka Kajjansi hadi Kisoro kusini mwa Uganda ni dola 500 karibu shilingi milioni 1.8ya uganda.

    Nauli za juu za ndege zinaumiza watu wa kipato cha chini.

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga (CAA) imesema kumekuwa na ukuaji wa chini katika usafiri wa ndani nchini Uganda.

    Mkurugenzi kwa viwanja vya ndege na usalama wa anga, mhandisi John Kagoro Tusubira, anasema japo kuna uwezekano wa usafiri wa ndani, wengi wa waganda hawana uwezo wakununua tiketi za ndege.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako