• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chombo cha kupeleka mizigo kwenye anga ya juu  cha Tianzhou-1 kurushwa kesho

    (GMT+08:00) 2017-04-19 19:07:31

    Ofisi ya mradi wa China wa kupeleka wanaanga kwenye anga ya juu imesema, chombo cha kupeleka mizigo kwenye anga ya juu cha Tianzhou-1 kitarushwa saa 1 na dakika 41 kesho jioni.

    Habari zinasema, baada ya chombo cha Tianzhou-1 kurushwa angani, kitaingia kwenye njia yake yenye umbali wa kilomita 380 kutoka ardhi, na kuunganishwa na maaraba ya anga ya juu ya Tiangong-2 inayofanya kazi katika mzingo huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako