• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KenGen inaonyesha wasi wasi kuchelewa kwa mvua ya Aprili, baada ya maji kupungua

  (GMT+08:00) 2017-04-19 19:56:15

  KenGen inaonyesha wasi wasi kuchelewa kwa mvua ya Aprili, baada ya maji kupungua.

  Bwana Samson Kimani anasema kiwango cha maji katika Masinga Dam kimepungua mno.

  Na anasema wanafikiria kusimamisha uzalishaji wa umeme katika bwawa hilo.

  Anaendelea kusema wakati bwawa hilo limejaa huwa inafiki mita 1,056. Lakini hivi sasa imefika mita 1,037.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako