• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Tanzania na makampuni ya mafuta ya kimataifa inataka kujenga kampuni ya gesi asili ya dola bilioni 30 za Marekani

    (GMT+08:00) 2017-04-19 19:56:40

    Makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na makampuni ya mafuta ya kimataifa inataka kujenga kampuni ya gesi asili ya dola bilioni 30 za Marekani (LNG) mradi huu sasa uko tayari, afisa mwandamizi anasema.

    Tanzania, ndiyo mmiliki mkubwa wa gesi asili Afrika Mashariki baada Msumbiji.

    Kaimu Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini, Prof James Mdole anasema makaratasi tayari yamewasilishwa kwa waziri, Prof Sospeter Muhongo, kwa ajili ya mapitio na pengine mchango wa ziada.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako