• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vikosi vya Iraq vyakomboa maeneo mapya kutoka kwa wapiganaji wa IS

    (GMT+08:00) 2017-04-20 18:45:10

    Vikosi vya usalama vya Iraq vimedhibiti tena eneo lililo pembezoni mwa al-Thawra, magharibi mwa Mosul baada ya mapigano makali dhidi ya wapiganaji wa kundi la IS.

    Taarifa iliyotolewa na Luteni Jenerali Abdul-Amir Yarallah wa Kamandi ya Opereseheni ya Pamoja amesema, vikosi hivyo, vinavyojulikana kama CTS, vilipandisha bendera ya nchi hiyo kwenye baadhi ya majengo baada kukomboa eneo hilo.

    Wakati huohuo, vikosi maalum vya wizara ya mambo ya ndani na polisi nchini Iraq wameendelea na mapambano katika maeneo ya kusini na magharibi mwa katikati ya mji huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako