• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yarusha chombo cha kwanza cha kupeleka mizigo kwenye anga ya juu

  (GMT+08:00) 2017-04-20 19:56:28

  China imerusha chombo cha kwanza cha kupeleka mizigo kwenye anga ya juu Tianzhou-1 leo jioni, ikiwa ni hatua muhimu kwa nchi hiyo katika kujenga kituo cha anga ya juu ifikapo mwaka 2022.

  Chombo hicho kimerushwa kutoka kituo cha kurusha vyombo vya anga ya juu cha Wenchang, mkoani Hainan, kusini mwa China. Kitakpofika kwenye anga ya juu, chombo hicho kitatia nanga katika maabara ya Tiangong-2, kutoa mafuta na mahitaji mengine, na kufanya majaribio katika anga ya juu kabla ya kurudi duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako