• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Achim Steiner kuongoza shirika la mipango ya maendeleo la Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2017-04-20 20:17:25

    Katibu mkuu wa Umoja huo Bw. António Guterres amemteua Bw. Achim Steiner kuwa mkuu wa Shirika la mipango ya Maendeleo la Umoja wa Mataifa, UNDP.

    Uteuzi huo umepitishwa katika mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa uliofanyika jana. Bw. Steine anashika wadhifa huo baada ya Bibi Helen Elizabeth Clark kumaliza muda wake wa uongozi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako