• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raia 55 wauawa katika mashambulizi ya waasi Sudan Kusini

    (GMT+08:00) 2017-04-21 09:35:41

    Mashambulizi ya mfululizo dhidi ya raia yaliyodhaniwa kufanywa na waasi wanaomtii Bw. Riek Machar mapema wiki hii, yamesababisha vifo vya watu 55, wengine 22 kujeruhiwa, na zaidi ya watu elfu nane kukimbia makazi yao kwenye maeneo ya Nanam, Kongor na Lukongole nchini Sudan Kusini. Tume ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS imezitaka pande zinazopambana zijizuie na kuheshimu usalama wa raia na mali zao kwenye mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako