• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zambia yafanya kongamano kuhusu changamoto za miundombinu

    (GMT+08:00) 2017-04-21 09:35:58

    Kongamano la nyumba na miundombinu nchini Zambia kwa mwaka huu lilifunguliwa jana mjini Lusaka, ambapo rais Edgar Lungu ameeleza wasiwasi wake juu ya njia zisizo makini za ujenzi na uhandisi wa miundombinu nchini humo. Mkutano huo wa siku mbili unaoshirikisha wadau 400 kutoka sekta za ujenzi na fedha, unalenga kutafuta ufumbuzi wa kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta ya miundombinu na nyumba nchini Zambia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako