• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhudhuria mkutano kuhusu masuala ya kibinadamu Yemen

    (GMT+08:00) 2017-04-21 09:36:17

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa ngazi ya juu kuhusu masuala ya kibinadamu nchini Yemen utakaofanyika mjini Geneva wiki ijayo. Kwenye ziara hiyo, Bw. Guterres anatarajiwa kukutana na viongozi wa Uswisi, kuendesha kampeni ya kuchangisha fedha kwa ajili ya misaada ya kibinadamu nchini Yemen, na kukutana na bodi ya watendaji wakuu wa uratibu ya Umoja wa Mataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako