• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yaidhinisha wagombea sita wa urais

    (GMT+08:00) 2017-04-21 09:36:36

    Baraza la ulinzi wa katiba la Iran limetangaza orodha ya wagombea sita wa urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, rais wa zamani Mohamoud Ahmadinejad hayumo kwenye orodha hiyo. Taarifa iliyotolewa na wizara ya mambo ya ndani ya Iran inasema, wagombea hao sita wanaweza kufanya kampeni zao hadi tarehe 18 Mei, siku moja kabla ya uchaguzi kufanyika nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako