• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Reli ya Mombasa-Nairobi kuzinduliwa mwishoni mwa mwezi Mei

  (GMT+08:00) 2017-04-21 16:54:44

  Kampuni ya ujenzi na mawasiliano ya China hivi karibuni imesema, reli ya Mombasa-Nairobi ambayo ni ya kwanza ya Kenya tangu nchi hiyo ipatie uhuru ambayo imejengwa na kampuni ya China, itazinduliwa tarehe 31 mwezi Mei.

  Meneja mkuu wa mradi wa reli hiyo Bw. Sun Liqiang amesema, ujenzi wa reli hiyo umeleta fedha, teknolojia, vipimo, na uzoefu wa utengenzaji na usimamizi barani Afrika. Pia umetoa nafasi za ajira elfu 30 kwa Wakenya, na kuhimiza pato la taifa GDP la Kenya kuongezeka asilimia 1.5 kwa mwaka.

  Baada ya ujenzi wa reli hiyo kukamilika, gharama za usambazaji wa bidhaa zitapungua kwa asilimia 40.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako