• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali Tanzania kusambaza gesi ya Mtwara hadi Tanga, Morogoro

  (GMT+08:00) 2017-04-21 19:23:48

  Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania linatarajia kufanya upembuzi yakinifu katika mwaka wa fedha ujao ili kuanza kuuza gesi itokayo Mtwara katika mikoa Tanga Morogoro na Dodoma.

  Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo Mhandisi Kapuulya Musomba ambaye amesema TPDC itafanya utafiti wa ujenzi wa miundombinu pamoja na masoko.

  Musomba amesema upembuzi huo ni kwa ajili ya kurahisisha taratibu za utekelezaji na kuratibu kazi ya usambazaji wa gesi nchi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako