• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Mauzo ya nje Uganda yapita matarajio

  (GMT+08:00) 2017-04-21 19:25:05

  Uganda imepata matato ya ziada ya dola milioni 222 kutokana na mauzo ya bidhaa nje ya nchi.

  Taakwimu za benki kuu nchini humo zinaonyesha kwamba nchi hiyo ilikuwa na ongezeko la mauzo ya nje katika bidhaa fulani na hivyo kuimarisha hifadhi yake ya fedha za kigeni.

  Imesema benki hiyo kwamba sasa hifadhi ya fedha za kigeni nchini humo imefikia dila bilioni 3.17 lakini kiwango hicho kilitarajiwa kufikiwa mwezi Agosti.

  Mapato hayo kulingana na benki kuu ni ishara kwamba Uganda inaweza kuhimili mzozo wa kiuchumi iwapo utatokea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako