• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu waliokufa katika shambulizi dhidi ya jeshi la Afghanistan yafikia 135

    (GMT+08:00) 2017-04-22 17:33:56

    Askari wasiopungua 135 wameuawa na wengine zaidi ya 60 kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na kundi la Taliban dhidi ya kambi ya jeshi la Afghanistan iliyo mkoani Balkh, kaskazini mwa nchi hiyo.

    Duru zinasema washambuliaji 10 wameshiriki katika shambulizi hilo, 7 kati yao waliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya usalama baada ya mapigano ya masaa manne, magaidi wawili walijilipua kwa mabomu huku mmoja akikamatwa na mkanda wa mabomu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako