• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania yamkamatai mhalifu wa zamani wa mauaji ya kimbari ya Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-04-22 17:34:22

    Mmoja wa wahalifu wa mauaji wa kimbari ya Rwanda, Innocent Sagahutum, aliyeshtakiwa katika aliyekuwa mhalifu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai kwa ajili ya Rwanda, ICTR iliyoondolewa hivi karibuni amekamatwa katika eneo la Ngara wakati alipokuwa akijaribu kuingia nchini Burundi bila ya visa.

    Sagahutu aliyekuwa afisa wa jeshi la Rwanda kabla ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 alikuwa akihojiwa na maofisa wa uhamiaji huko Bukoba, mji mkuu wa Kagera.

    Kwa mujibu wa afisa uhamiaji wa mkoa wa Kagera Ally Dady, Sagahutu alikuwa amekamilisha kifungo cha miaka 15 jela kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbari nchini Rwanda ambayo yalisababisha vifo vya watu milioni 1. Dady amesema baada ya kutumikia kifungo chake, Sagahutu alishindwa kupata nchi moja inayoweza kumpokea, na kuongeza kuwa alihitaji hati maalumu ya kusafiria kutoka Arusha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako